Beki wa Kushoto wa Simba SC Antony Mlingo amegoma kuendelea na shughuli yoyote katika kikosi cha Simba mpaka atakapolipwa pesa zake zote alizoahidiwa.
Chanzo chetu cha Kuaminika kimetutaarifu kuwa Mlingo yupo mbioni kuvunja mkataba na wekundu wa Msimbazi Simba.
Mligo anaweza kuachana na Simba kwa sababu ya wakala wake ambaye haelewani na Simba, wakala wa Mligo ndiye huyo huyo wakala wa Mohamed Hussein Tshabalala ambaye alidhindwana na Simba na kuamua kuondoka.
Wakala huyo ni Carlos Mastermind.