Klabu ya Simba SC ipo tayari kutoa kiasi cha pesa cha USD 500K (Tshs Bilioni 1.2) kwenda Azam FC lakini italipa nusu yake USD 250K (Tshs Milioni 630) na nyingine watalipa baadae
Azam FC wamekataa wanahitaji kiasi chote na bila hivyo hakuna biashara na Simba SC kwa Feitoto na mpaka sasa klabu ya Simba SC inaendelea kupambana kwa kuishawishi Azam FC ili ikubaliane na mahitaji hayo na Kiungo Feisal ameshasema yes kujiunga na Simba SC na anahitaji kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.