KLABU ya Simba SC imepata udhamini mpya Mkuu kutoka Kampuni ya Betway Tanzania wenye thamani ya Sh. Bilioni 20 kwa miaka mitatu.
Simba SC inaingia mkataba wa Betpawa baada ya kuachana na wadhamini wao, M-Bet walioingia nao mkataba wa miaka mitano kuanzia Agosti 1, mwaka 2022 wenye thamani ya Sh. Bilioni 26, milioni 168 na Tsh. 5,000 kwa miaka mitano.