Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Salehe Karabaka , ambae alikuwa Kwa mkopo kwenye Klabu ya Namungo FC Kwa mwaka mmoja ambao tayari umemalizika amerejea katika Klabu ya Simba SC baada ya mkataba wake kufika mwisho.
Mkataba wa Karabaka na Klabu ya Simba SC ni Miaka mitatu , mpaka sasa Simba ndo wataamua Nini wakifanye kama mchezaji atatokewa Kwa mkopo ama watasalia katika Klabu hiyo ya Msimbazi.