Rais wa Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA, Gian Infatinho ameipongeza klabu ya Yanga SC ya Tanzania kwa kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu bara.
Infatinho ametuma salamu zake kwa Yanga SC ikiwa ni desturi kwa Rais wa soka ulimwenguni kuzitumia salamu ya pongezi kwa timu bingwa wa nchi mwanachama wa Shirikisho hilo.