Kwa mujibu wa AJ vainqueur ambao ni wasimamizi wa Winga Elie Mpanzu wameeleza kuwa klabu ya Simba SC imelipa kiasi kilichokuwa kimebaki cha Tshs 190M na proposal zote za ada ya usajili
Elie Mpanzu anajiandaa kurudi Tanzania kwaajili ya kuitumikia klabu ya Simba SC kuelekea msimu mpya na atafika jioni ya leo na bado ana mkataba na Wekundu wa Msimbazi.