Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari 'Cristovao Mabululu' raia wa Angola kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Klabu ya Al Ittihad Tripol yenye maskani yake huko Tripoli nchini Libya.
Taarifa za kikachero zinaonesha kuwa licha ya usajili huo kuwa ni kama wa tetesi nyingii lakini umeshakamilika tayari na umefanywa kwa siri kubwa mpaka pale watakapo mtambulisha rasmi.