Klabu ya Azam imeipeleka Yanga TFF kulalamikia kumtambulisha Mchezaji wao Abubakar Othman (Ninju) bila wao kuwa na taarifa yoyote
.
Ninju anamkataba na Azam Mpaka Mwaka 2027 lakini Mwezi wa kwanza alitolewa kwenda JKU kwa mkopo wa miezi sita mkopo ambao umeisha mwishoni mwa Msimu huu
.
Kabla ya kurudi Azam Ninju katambulishwa Yanga
.
Azam waliwasiliana na Jku lakini Jku wakasema Ninju walishamruhusu kurudi Azam kwani Mkataba wake wa mkopo ulikuwa umekwisha , ndipo Azam wakaamua kufungua mashtaka TFF kudai haki Yao kwa Ninju .
.
Ninju alitambulishwa Yanga jumapili ya juzi tarehe 27.