Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni akiwemo Ponela Matei, Habib Mchange, Allan Sanga, Henjelewe, Ally Mandai na Francis Elias.
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jina lake halijarudi.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo Julai 29,2025.