Taarifa zinasema kuwa Simba SC imefungiwa kusajili na FIFA, Ayoub Lakred alivunjiwa mkataba bila kulipwa stahiki zake ambazo ni $100,000 (Tsh 257,000,000) na FIFA wametoa adhabu hiyo na hawataruhusiwa kusajili au kutambulisha mchezaji mpya hadi deni hilo lilipwe.
Simba wapo kwenye mchakato huo ili waweze kutangaza usajili mpya.
FIFA wametuma taarifa hii siku kadhaa zilizopita ila ikawekwa kuwa siri.