Uongozi wa klabu ya. Yanga upo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Ivory Coast, Célestin Ecua(23)
Celestin Ecua akiwa na Kikosi cha Asec Mimosas amefunga Mabao (15) na kutoa pasi za usadizi (Assist) 12 .
Ndiyo (MVP) wa ligi kuu ya Ivory Coast. alikuwa anakipiga kwa mkopo Asec akitokea Zoman Fc.
Jama ni fundi sana anauwezo wa ku dribble ku funga ku assist ana speed na nguvu pia, anacheza namba 10 pia anaweza kucheza kama winger Célestin Ecua anakuja kuchukua nafasi ya Stephan Aziz ki kama mambo yataenda sawa.