Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah raia wa Ghana, ameipiga mkwara Yanga kwamba kama wakifanya makosa keshokutwa katika mchezo wa fainali atawaadhibu.
"Simba na Yanga hazina tofauti... kama ambavyo Simba walifanya makosa nikawafunga, vivyo hivyo Yanga wakifanya makosa nitawafunga"
Jonathan Sowah, straika wa Singida Black Stars....kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB