Klabu ya Simba SC imempa ofa ya kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kiungo Fabrice Ngoma (31) kuelekea msimu ujao
Ngoma amekataa ofa hiyo na anahitaji mkataba mpya wa miaka miwili ikiwa kinyume na matakwa yake ataondoka dirisha kubwa lijalo la uhamisho
Simba SC ina nia ya kumuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja tu na mpaka sasa bado hakuna hatima baina ya pande zote mbili