Rais wa klabu Yanga injinia Hersi Said ameeleza kuwa ataendelea na uongozi wake ndani ya klabu Yanga huku akiwa na majukumu mengine ya kugombania uongozi katika wilaya ya Kigamboni
Mbali na hapo Hersi Said ameeleza kuwa makao Rais wa klabu ya Yanga Arafat Haji ataendelea kutumikia uongozi ndani ya klabu Yanga wakiwa pamoja