Klabu ya CS Sfaxien imekataa ofa ya USD 200K (Tshs Milioni 521) kutoka Hibernian FC ya nchini Scotland ikihitaji saini ya Kiungo Balla Moussa Conte (21)
CS Sfaxien wanahitaji USD 2M (Tshs Bilioni 5.2) ili kumuachia mchezaji huyo katika dirisha lijalo la uhamisho na CS Sfaxien ina amini klabu hiyo ya Scotland itaboresha ofa yake kwa wakati ujao
Simba SC pia inamfatilia kiungo Balla Moussa Conte kuelekea msimu ujao ili kuongeza nguvu na mkataba wa Balla Moussa Conte na CS Sfaxien unamalizika mwaka 2026.