Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary afariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Hilary amewahi kuwa mtangazaji wa RTD Sasa TBC, Radio One, BBC na Azam .
Mungu ampumzishe mahara pema peponi Amina
