Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Watakaomzika Papa Francis watajwa, Trump ndani

Orodha ya Viongozi wa dunia watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis kesho Jumamosi ,Jijini Roma,Italia.

António Guterres – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Ursula von der Leyen – Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya

António Costa – Rais wa Baraza la Ulaya

Roberta Metsola – Rais wa Bunge la Ulaya

Austria - Rais Alexander Van der Bellen
Kansela Christian Stocker

Ubelgiji - Mfalme Philippe, Malkia Mathilde
Waziri Mkuu Bart De Wever

Bulgaria - Waziri Mkuu Rossen Jeliazkov

Croatia - Rais Zoran Milanović
Waziri Mkuu Andrej Plenković

Jamhuri ya Czech - Waziri Mkuu Petr Fiala

Denmark - Malkia Mary

Finland - Rais Alexander Stubb

Ufaransa - Rais Emmanuel Macron

Ujerumani - Rais Frank-Walter Steinmeier
Kansela Olaf Scholz

Ugiriki - Waziri Mkuu Kyriakos Mitsotakis

Hungary - Rais Tamas Sulyok
Waziri Mkuu Viktor Orbán

Ireland - Rais Michael D. Higgins
Waziri Mkuu Micheál Martin
Naibu Waziri Mkuu Simon Harris

Italia - Waziri Mkuu Giorgia Meloni

Latvia - Rais Edgars Rinkēvičs

Lithuania - Rais Gitanas Nausėda

Luxembourg - Grand Duke Henri, Grand Duchess Maria Teresa

Macedonia Kaskazini -Rais Gordana Siljanovska-Davkova

Moldova - Rais Maia Sandu

Monaco - Mwanamfalme Albert II, Malkia Charlène

Uholanzi - Waziri Mkuu Dick Schoof
Waziri wa Mambo ya Nje Casper Veldkamp

Norway - Mwanamfalme Haakon
Malkia mtarajiwa Mette-Marit

Poland - Rais Andrzej Duda
Rais wa Bunge Szymon Holownia

Ureno - Rais Marcelo Rebelo de Sousa
Waziri Mkuu Luís Montenegro
Spika José Pedro Aguiar-Branco
Waziri Paulo Rangel

Romania - Rais wa mpito Ilie Bolojan

Serbia - Rais Aleksandar Vučić

Slovakia - Rais Peter Pellegrini

Slovenia - Rais Nataša Pirc Musar
Waziri Mkuu Robert Golob

Uhispania - Mfalme Felipe VI, Malkia Letizia
Makamu wa Rais María Jesús Montero & Yolanda Díaz

Waziri Félix Bolaños
Kiongozi wa Upinzani Alberto Núñez Feijóo

Sweden - Mfalme Carl XVI Gustaf, Malkia Silvia
Waziri Mkuu Ulf Kristersson

Uswisi - Rais Viola Amherd

Ukraine - Rais Volodymyr Zelensky

Uingereza - Mwanamfalme William
Waziri Mkuu Keir Starmer

Marekani - Rais Donald Trump
Mkewe Melania Trump

Argentina - Rais Javier Milei

Brazil - Rais Luiz Inácio Lula da Silva na mkewe Janja

Canada - Gavana Mkuu Mary Simon

India - Rais Droupadi Murmu

Ufilipino - Rais Ferdinand Marcos Jr.

Taiwan - Makamu wa Rais wa zamani Chen Chien-jen, akiwakilisha Rais Lai Ching-te

Hongkong - Kardinali Joseph Zen (Askofu Mkuu mstaafu wa Hong Kong)

Cape Verde - Rais José Maria Neves

Jamhuri ya Afrika ya Kati - Rais Faustin-Archange Touadéra

Kenya-Moses Wetangula,Spika wa Bunge la Kitaifa


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Timu inaitwa Mashujaa Lake Tanganyika FC ( Mashujaa FC ) ilianza rasmi kampeni yake ya kupanda Ligi Kuu tarehe 29/9/2018 na imepanda Ligi Kuu 25/06/2023 miaka mitano ya kupambana kwenye Ligi Daraja la kwanza Championship. Timu hii inaendeshwa kwa ushirikiano wa pande mbili kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa niaba ya Wananchi wa Kigoma. Muelewe hapa maana wengi wanasema ni timu ya Jeshi asilimia 100% Nembo ya timu ni Sokwe Dume, Shujaa wa Hifadhi za Gombe na Mahale zilizopo mkoani Kigoma. Rangi ya kwanza ya jezi ya timu (first kit) ni hiyo hapo chini na kwenye nembo ya timu ni rangi za tunda la michikichi (mawese ). Hii kama njano ni mawese yaliyoganda na huo wekundu ni mawese ya moto. Ukishika tunda la Mse juu utaona wekundu na ukikata katikati utaona njano. Nyeupe ni ‘nazi’ ya Mse hizi ni alama za utajiri wa Kigoma Jezi nyingine ni blue inayowakilisha Ziwa Tanganyika na Jezi nyingine ni Nyeupe

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

Miongoni mwa viungo wa pembeni wanaofanya vizuri ni Benodict Khalfan Ngassa ambaye amekuwa akifanya vizuri. Ngassa ambaye ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa Pamba Jiji na Simba SC, Khalfan Ngassa, pia ni mdogo wa kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Simba na Azam, Mrisho Ngassa anatajwa ni mmoja kati ya wachezaji wanaotazamiwa kufanya makubwa siku za usoni. Mambo Uwanjani Blog itawaletea Makala maalum ya kiungo huyo hatari ambaye ndoto zake ni kufuata nyayo za kaka yake Mrisho Ngassa. Beno Ngassa

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

Na Prince Hoza AFISA Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Shabani Kamwe alidiriki kuudanganya umma wa wapenzi wa soka hapa nchini kwamba hakuna timu yoyote hapa Tanzania kuwahi kuingia hatua ya nusu fainali ya vilabu Afrika. Kamwe alisema timu yake ya Yanga itakuwa timu ya kwanza nchini kuingia nusu fainali ya Afrika, Yanga ilikuwa inakaribia kabisa kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika. Yanga ilianza vizuri ikiwa ugenini baada ya kuilaza mabao 2-0 timu ya Rivers United ya Nigeria, hivyo ilikuwa inasubiria mchezo wa marudiano uliofanyika uwanja wa kumbukumbu ya Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Kwa vyovyote Yanga walikuwa na uhakika wa kutinga nusu fainali kwani walihitaji sare yoyote ama ushindi wa aina yoyote. Hapo ndipo Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe aliamua kupiga vijembe kwa watani zake Simba SC na kuipotosha jamii kwa kudai kwamba Yanga itakuwa timu ya kwanza Tanzania kuingia nusu fainali ya Afrika. Kamwe ameifuta hadi rekodi ya Simba kuwa timu ya kwanza Tan...