Kuelekea dirisha kubwa la Usajili Uongozi wa Klabu ya Simba Sc Utawaacha wachezaji zaidi ya sita,
Wapo wazawa na wakigeni huku sababu ikifahamika kuwa ni Kutoendana na kasi ya klab yao kwasasa kwa mujibu wa Kocha Fadlu Davies:
Baadhi yao ni Omary Omary, Mzamiru Yassin, Edwin Balua, Valentine Mashaka, Valentine Nouma na Augustine Okajepha, lakini taarifa hiyo inaongoza kuwa wachezaji wengine wanatazamwa vizuri na wanaweza kuongezeka wanaoachwa na wanaobaki
