Kocha mkuu wa timu ya Stellenbosch ya Afrika Kusini Steve Baker amesema timu yake itatinga fainali iwe isiwe kwani wanashinda wao wa Jumapili.
”Tutabadilisha matokeo sio lazima kushinda 2-0,Tunaweza kushinda 1-0 na kwenda kwenye mikwaju ya penati”
“Simba SC sio tishio kwa kile nilichoona wanafungika na njia ya fainali bado ipo wazi”, amesema Steve Baker kocha mkuu wa Stellenbosch
