Mshambuliaji wa klabu ya Stellenbosch Ashley Cupido ameumia hapo jana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Amazulu na kushindwa kuendelea na mchezo baada ya dakika kumi tu.
Huwenda Cupido ataukosa mchezo wa kwanza dhidi ya Simba sc katika ardi za Visiwani kama ripoti ya daktari ikithibitisha kuukosa mchezo huo.
