Singida Black Stars kumenyana na Simba SC kwenye hatua ya nusu fainali, wakati JKT Tanzania inamsubiri mshindi kati ya Yanga SC dhidi ya Stand United.
Singida Black Stars leo imeifunga Kagera Sugar mabao 2-0 wakati JKT Tanzania imeichapa Pamba Jiji mabao 3-1.
Mabao ya JKT Tanzania yamefungwa na Mohamed Bakaru dakika ya 74, Yunus Lema dakika ya 36 (maejifunga) na Henry Msabila dakika ya 90.
Kesho ni Wananchi dhidi ya Stand United, saa 10:00 jioni
