Muonekano wa uewanja wa Kengold unaendelea kujengwa huko Chunya-Mbeya mara baada kukamilika kwa Ujenzi wake.
Ikumbukwe Kengold imekuwa ikicheza nje ya Wilaya Chunya ambako ndiyo makao yake yalipo, ila kwa sasa mechi zake za nyumbani imekuwa ikitumia uwanja wa Sokoine Mbeya.
Msimu ujao Kengold wenda ikatumia uwanja huo kwenye mechi zake za Championship kwani mpaka sasa timu hiyo imeshajihakikishia kushuka Daraja kunako Ligi kuu NBC

