Che Fondoh Malone fiti kuivaa Stellenbosch


Taarifa za kuamimika kutoka kwa daktari wa klabu ya Simba SC ni kuwa mlinzi wa kati wa klabu hiyo, Che Malone amepona majeraha yake yaliyokuwa yakimkabili.

Che Malone kutumika katika mchezo wa Stellenbosch dhidi ya Simba SC ni matakwa ya Kocha Fadlu Davis.