Uongozi wa klabu ya KenGold ya Mbeya imewasimamisha kazi watumishi wake watani kutokana na matukio mbalimbali ya utovu wa nidhamu.
Wachezaji waliosimamishwa ni pamoja kinara wa mabao wa timu hiyo Seleman Bwenzi, Masoud Cabaye, Stephen Duah, James Msuva na Uhuru Seleman ambaye ni kocha wa viungo.
Mwenendo wa KenGold sio nzuri na sasa imebakiza mechi nne ikiwa inashika mkia na alama zake 16 na inapewa nafasi ndogo ya kubaki Ligi Kuu bara.
Timu hiyo itacheza na Coastal Union hivi karibuni
