Klabu ya Al Ahly imeanza mazungumzo na Kocha José Riveiro ili kurithi mikoba ya Marcel Koller aliyeachana na Al Ahly hivi karibuni
Hakuna ofa yoyote mezani kutoka klabu ya Young Africans SC, Riveiro ataachana na Orlando Pirates mwishoni mwa msimu huu
Kocha José Riveiro anahusishwa kuhitajika na Young Africans kuelekea msimu ujao ijapo hakuna ofa rasmi kutoka kwa giants hao wa Tanzania.