Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco inafuatilia kwa umakini mwenendo wa Stephanie Aziz Ki kuangalia muafaka na utaratibu wa kupata saini yake.....
Wydad imekua ikimfuatilia kwa muda sasa wa miaka 2 ili waangalie uwezekano wa kumpata kiungo huyo...
Kocha wa Wydad ndie anaeongeza shinikizo zaidi la kumpata KI, anavutiwa sana na uchezaji wake.
Hatua za awali zimeshaannza kujadili juu ya uhamisho wake, jana wawakilishi wa Aziz Ki walikutana na kocha Rulani Mokwena na klabu staff wa Wydad