Simba wakiri kubeba mbuzi na wazee warupi siku ya dabi


Taarifa ya Bodi ya Ligi inasema, walihairisha mechi kwa sababu za Usalama na uwepo wa viashiria vya rushwa.. 

Simba SC leo viongozi wao wamekiri kuwa kweli Machi 7, 2025, walibeba basi lenye mbuzi na wazee wafupi na kuingia nao uwanjani usiku, walipozuia wakagoma kuleta timu uwanjani

Kimsingi, Wanachokifanya @simbasctanzania ni kuzidi kuwavua nguo viongozi wa Bodi ya Ligi

@yangasc wako sahihi, Mpira wetu unaongozwa na watu wa hovyo kuwahi kutokea.

Nitawashangaa sana Viongozi wa Yanga kama watawasaliti mashabiki wao na kukubali mechi ya marudiano.