Ombi la klabu ya Pyramids kutaka waamuzi wa nje kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi vs Al Ahly limekubaliwa kutekelezwa na Chama cha Soka EFA huku kukiwa bado hakuna majibu ya ikiwa Al Ahly itacheza mchezo huo!
Pyramids waliwasilisha Maombi Yao na watalipa gharama za waamuzi hao punde baada ya sherehe za Eid zinazotarajiwa kufanyika Kesho au keshokutwa nchini Misri