Nyuma ya kocha mkuu Fadlu Davids kuna huyu mwamba wakuitwa Darian Wilken akishilikiana na Sulemani Matola wanafanya kazi kubwa sana.
Darian Wiliken amemaliza sehumu ya pili ya ukocha UEFA A License aliyokuwa anasoma Wales. hivyo kwasasa yuko fiti kusafiri na Simba kuelekea nchi ya Hadi.