"Mimi nimejisikia faraja kuitwa timu ya Taifa ,Familia yangu ndio walikuwa wa Kwanza kunipa taarifa kupitia mjomba wako ,Sikuweza kuamini mpaka pale ambapo niliweza kuingia kwenye mtandao na nikaona kweli jina lako limeitwa ,Nikamshukuru Mungu"
"Nimekutana na wachezaji wa level ya juu ambao wako na Uzoefu mkubwa wa kucheza mashindano makubwa kama AFCON,Nimefurah hapa kukuta kila mmoja anapambania timu ya Taifa ,Nimeshangaa Sana kuona wachezaji wako na nidhamu kubwa pia wanaishi Kwa upendo mkubwa"
Hussein Masalanga ( Golikipa wa timu ya Taifa Tanzania) akizungumza baada ya kuitwa Kwa mara ya Kwanza timu ya Taifa ya Tanzania