Diamond Platinumz hataki Tiffah awe msanii kama yeye

Diamond Platnumz amesema hatomruhusu binti yake,Tiffah kuwa msanii kwani anazijua changamoto za kuwa msanii ukiwa mwanamke.

"Msanii wa kike kuna mambo mengi lazima apitie kama anataka kuwa msanii,

Ni changamoto kubwa sana kiasi cha kuuza mpaka utu lakini ndo mfumo ulivyo." Ameandika kupitia mtandao wake, Diamond Platnumz