Bodi ya Ligi kuburuzwa mahakamani


Page 1 & 2 Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwachama wa Klabu ya Yanga SC kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo kadhaa ama sivyo ataifikisha bodi hiyo Mahakamani,

Madai hayo yaliyotokana na Uamuzi usio halali wa Bodi ya ligi wa kuaihirisha Mechi namba 184 ya NBCPL tarehe 8 Machi 2025 ikiwa ni pamoja na kurejeshewa gharama alizoingia kwenda Dar kushuhudia hiyo mechi pia na Yanga kupatiwa pointi 3 na magoli matatu,

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika mkoani Iringa kinasema Demand Notice hii ilishatumwa ofisi za TFF.