Mecky Mexime amtaka Ramovic aondoke Yanga
“Kocha wa Yanga ni Mfamaji yeye amefungwa inabidi akubali hata sisi tunafungwa na tunakubali inabdi akubali asitafute pakuangushia lawama yeye ajiangalie yeye mwenyewe alipofeli na akubali ila akisema hii sio ligi bora anatukosea ajitathmini yeye mwenyewe akae na Viongozi wake akitaka ahame ligi aende kwenye ligi yenye ushindani”
Kocha wa Dodoma Jiji FC akijibu swali la Mwandishi kuhusu kauli ya Kocha wa Yanga akisema Ligi yetu ni dhaifu.