KenGold balaa, yamleta Luis Miquissone, Hussein Kazi naye ndani


Kama mazumguzo yatafikia mwisho mzuri tegemea kumuona Luis Miquisone ndani ya NBC Premier League kwenye hili dirisha dogo.

Tajiri wa #Ken_Gold ameamua kushusha vyuma kuinusuru timu hiyo isirudi NBC Championship.

Bado mazumguzo yanaendelea baina ya pande mbili.

Luis Miquissone


Wakati huo huo Ken Gold kutoka Chunya Mkoani Mbeya ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba kwaajili ya kuipata saini ya beki wa kati Hussein Kazi ili kuongeza nguvu kikosini hapo.

Hussein Kazi mkataba wake na Simba unamalizika Julai 2025, na hadi sasa hayupo kwenye mipango ya kocha Fadlu.

Hussein Kazi

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA