Erick Kabamba amfuata Morrison KenGold
Klabu ya KenGold imekamilisha usajili wa aliyewahi kuwa kiungo mshambuliaji wa vilabu vya KMC, Kabwe Worriers na Yanga SC Erick Kabamba.
Kiungo huyo raia huyo wa Zambia tayari ameshasaini kandarasi ya miezi 6 na yupo Jijini Mbeya.