Abdi Kassim "Babi" afichua maana ya jina lake la utani
ABDI Kassim anasema jina la 'BABI' siyo jina lake halisi isipokuwa lilitokana na kaka yake anayemtaja kwa jina la Shabaan kushindwa kutamka Abdi.
"Badala ya kutamka Abdi alikuwa akiniita 'Babi" basi jina hilo lilishika kasi na kuenea kila mahali hadi leo hii."