TMA Stars yang' oa mmoja Kagera Sugar

Klabu ya TMA Stars ipo kwenye mpango wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Kagera Sugar na Mwadui Venance Ludovick.

Msimu huu Ludovick amewatumikia wapiga debe kutoka pale Shinyanga Stand United.