Tanzania Prisons yapata kocha mpya


Rasmi Tanzania Prisons imefanikiwa kuinasa Saini ya Kocha Wa Geita Gold inayoshiriki Championship Josia Amani.

Josia anachukua mikoba ya Mbwana Makata ambae ameondoka Tanzania Prisons.

Josia Amani akiwa Geita Gold FC amecheza michezo 14, amekusanya alama 30 anashika nafasi ya pili nyuma ya Mtibwa Sugar.