Kiungo mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Bernard Morrison raia wa Ghana amekamilisha usajili wa kujiunga na timu ya KenGold ya Chunya mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari ni kwamba Morrison amesajili kwa kandarasi ya mwaka mmoja, KenGold iko kwenye tanuru la kutelemka daraja.