Kiungo MC Alger ashinda tuzo

Kiungo wa Klabu ya MC Algers Raia wa Ivory Coast Mohammed Zougrana (23) ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa kigeni ndani ya ligi kuu ya Algeria Maarufu kwa jina la ALBIR EBUSI kwa mwaka 2024,

Tuzo hizo ziliandaliwa na Kusimamiwa na Kampuni ya ya DZ MATCH huku zikifahamika kwa jina la DZ Player of the Year 2024.