Kibu Denis amesha anza safari ya kurejea Tanzania akitokea Marekani alipokuwa ameenda kwa ajili ya Matatizo ya kifamili.
Kila kitu kiko sawa na Kibu anarejea nchini Sasa ili kuendelea na majukumu yake ndani ya Simba.
Kibu alikosekana Katika Mchezo Kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar na Mchezo dhidi ya JKT Tanzania.