KenGold yanasa Mghana wa Pamba Jiji

Klabu ya KenGold Imekamilisha Usajili wa Mkopo wa Miezi Sita wa aliyekuwa Mshambuliaji wa klabu ya Pamba Jiji Eric Okutu (31) ambaye ni Raia wa Ghana,

Okutu anatarajia kujiunga na klab ya KenGold baada ya klabu yake ya Pamba Jiji FC kumaliza mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons.

Okutu kabla ya kujiunga na klab ya Pamba Jiji alikuwa akiitumikia klabu ya Tabora United.