Karabaka atimkia Namungo FC

Kiungo mshambuliaji Wa Klabu ya Simba Saleh Karabaka amejiunga na klabu ya Namungo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita hadi mwishoni mwa Msimu huu.

Karabaka alijiunga na Simba Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Klabu ya JKU ya Visiwani Zanzibar.

Saleh Karabaka