Joshua Mutale kurudi Power Dynamo


Simba SC itamtoa Kwa Mkopo Winga wao Joshua Mutale kabla Dirisha la Usajili Kufungwa.

Inaelezwa kuwa Timu yake ya Zamani Power Daynoms Iko tayari kumrejesha Nyota Huyo Mpka mwisho Wa Msimu huu.