Chilunda kurejea uwanjani na KMC

Shabani Iddy Chilunda yupo majaribio kwenye klabu ya KMC FC akitafuta nafasi ya kusajiliwa baada ya kukaa nje ya uwanja takribani miezi mitano (6) baada ya mkataba wake na Simba SC kumalizika.

Ni pendekezo la Mwalimu Ongala ambaye alifanya nae kazi Azam FC uongozi umempa nafasi ya kujaribu bahati yake kwenye majaribio kabla ya kumsajili moja kwa moja.