Kiungo mkabaji wa Yanga SC Khalid Aucho ameoneshwa kumsikitikia kiungo mshambuliaji kinda wa Simba Ladack Chasambi kwamba kww kauli aliyoitoa ambayo imekuqa gumzo.
Chasambi bado ni kijana mdogo ana safari ndefu ya kujifunza lakini kwa kauli kama ile ni rahisi kupoteza ushirikiano kutoka kwa wachezaji wenzake, lakini pia nawashangaa wachezaji wa hapa Tanzania wana vipaji vikubwa sana ila hawaheshimiani.
“Mchezaji kama Feitoto kafanya makubwa kwa misimu zaidi ya mitatu sasa ulitegemea mchezaji kama Chasambi ajifunze mengi kwake"