TP Mazembe ya wanawake yatwaa ubingwa wa Ligi ya mabingwa tarehe Novemba 25, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Klabu ya TP Mazembe ya wanawake ndio mabingwa wapya wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuwapiga AS FAR kichapo cha bao 1-0.Mazembe wanafikia rekodi ya Mamelodi kwa kutwaa Kombe hilo mara mbili.