Tanzania yapanda viwango FIFA

Tanzania imepanda nafasi sita (6) katika viwango vya ubora duniani [FIFA] kutoka nafasi ya 112 mpaka nafasi ya 106.

Kenya wameporomoka kutoka nafasi ya 106 mpaka 108.

Huku Uganda ndio wanaongoza kwa upande wa Afrika mashariki wakiwa nafasi ya 88.