Nyota wa Tanzania Kelvin John anayecheza katika klabu ya Aalborg ya Denmark ameisaidia timu yake kupata alama moja kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliomalizika kwa sare 0:0 dhidi ya Viborg FC.
Nyota wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi ameisaidia timu ya Gotzepe ya Uturuki kupata ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Besiktas katika mchezo wa Ligi Kuu