JKT Tanzania yaipapasa Fountain Gate tarehe Novemba 29, 2024 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine BAO la kiungo mkongwe wa umri wa miaka 31, Najim Magulu dakika ya 34 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati mkoani Manyara.